Wednesday, March 25, 2009

Kuna haja ya rais kupokewa na uongozi wote wa serikali?


Ni kitu ambacho sielewi kabisa,je kuna haja kweli ya Rais kila anapokwenda ziarani nje ya nchi na kila anaporudi kupokelewa na uongozi wote wa juu wa serikali?kuna sababu gani hasa ya msingi?maana unaona kuna Mkamu wa Rais,Waziri Mkuu,Mkuu wa Jeshi,Mkuu wa Polisi na viongozi wengine kibao.kwani hawa hawana kazi nyingine ya kufanya?mi nadhani Rais angeweza kabisa kupokelewa na mtu kama Mkuu wa Mkoa,inatosha sana...sijui wadau mnaonaje?

2 comments:

  1. I agree with you. Some of the protocol in place takes away from time that could be spent dealing with more pressing, pertinent matters, au siyo?

    ReplyDelete
  2. ni kweli kabisa..
    hamna haja ya kuwa na wtu kibao wanaompokea rais,
    kwanza ni wastage of time and money unnecessarily..

    ReplyDelete