Monday, March 16, 2009

Mkoa wa Tanzania wenye wasichana wazuri.

Rafiki yangu amenidokeza kuwa katika Tanzania mkoa ambao wasichana wanakuwa wanavutia ni Bukoba eti alisema karibuni kila utakaemuona ana figure 8 na huchoki kumtazama ,kwa kweli alikuwa na fikra tofauti na za kwangu mimi nilifikiria ni Kondoa Irangi ,ambapo kuna wasichana waliochanganya asili na wajerumani.

3 comments:

  1. hello
    mi nafkiri wasichana wazuri wako moshi..miguu kama chupa ya togwa na umbo number tisa....lol!

    ReplyDelete
  2. wasichana wazuri wako arusha ni wambulu

    ReplyDelete
  3. hahahah..
    hahahah....

    ReplyDelete