Wednesday, September 16, 2009

lori la mchanga lagongwa na treni

lori la kubeba mchanga likiwa limeharibika baada ya kugongwa na treni ya mizigo katika eneo la Makulu mjini Dodoma jana baada ya lori hilo kukatiza reli sehemu ambayo haina kivuko. Hakuna aliyereruhiwa katikaL ajali hiyo.

1 comment:

  1. Ajali nyingine kama hizi husababishwa na uzembe tu tu!!Kazi ipo!:-(

    ReplyDelete