Gari likipita jirani na nguzo ya umeme iliyooza na kukatika ambayo imeshikiliwa na waya eneo la Manzese midizini Dar es Salaam jana. Nguzo hiyo ni moja kati ya nguzo sita ziliooza na kuanguka lakini Tanesco wameshindwa kuzibadilisha kwa wiki mbili sasa.
Monday, November 30, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Labda pale wananchi watakapowashambulia kwa mawe tanesco kama wafanyavyo kwa vibaka na wezi, ndio Tanesco wataamka
ReplyDeletetanesco hawalipwi vizuri ndio maana..
ReplyDelete