Friday, January 23, 2009

Mgao wa umeme waanza tena nchini Tanzania.

Kwa mara nyingine tena shirika la umeme nchini tanesco limetangaza mgao wa umeme nchini Tanzania utakao anza rasmi mwezi wa katikati ya mwezi wa kwanza mwaka huu.
akizungumza na vyombo vya habari nchini,mkurugenzi wa shirika hilo amesema kuwa kumekuwa na upungufu wa maji katika bwawa la mtera pamoja na uchakavu wa mitambo ya kufulia umeme.
Je ndugu mtazania mwenzangu,hii ni haki,ikumbukwe kwamba ila mwaka tatizo limekuwa likijitokeza na wadau wamekuwa wakijinadi kuwa tatizo hili halitatokea tena mara nyingie wakidai kuwa wamejipanga vilivyo kuhakikisha kuwa halitokei tena,lakini cha ajabu umeme umekuwa ni kama janga la kitaifa.

2 comments:

  1. bongo kila kitu sio tu,kuanzia umeme hadi maji hadi kila kitu.

    ReplyDelete
  2. bongo noma sana kaka.Kwani hakuna utaratibu mzui wa utendaji. Kila mtu anafanya anavyo taka. Inabidi vijana tukaze buti tuweze kulikomboa taifa letu kutoka kwenye ufisadi,utawala mbovyu na ukosefu wa matibabu,elimu pia tuweze kuwa na maisha bora.

    ReplyDelete