Thursday, February 26, 2009

effect of Land reclamation-Netherlands.


hii nyumba imejengwa sehemu ambayo ilikuwa ni bahari,kabla hapajafanyiwa land reclamation.
madhara yake ni kuwa nyumba nyingi ambazo zimejengwa katika maeneo hayo nchini Uholanzi huwa zinapasuka kutokana na ardhi kutitia kama inavyoonekana katika picha hapo juu.

No comments:

Post a Comment