Thursday, February 5, 2009

Lecturer wa udsm azinguliwa mtoni.

Mahir Meghji,lecturer katika chuo kikuu cha dar sehemu ya mlimani UDSM amejikuta kwenye wakati mgumu pale alipovamiwa na kushambuliwa na wabaguzi wa rangi nchini Australia ambapo yupo nchini humo kimasomo.
Lecturer huyo alivamiwa na vijana watatu usiku mmoja wa wiki iliyopita alipokuwa katika gari lake,hali iliyopelekea kujeruhiwa ambapo alikimbizwa hospitali kwa matibabu,
habari kutoka kwa mtu wa karibu na teacher huyo zinadai kuwa jamaa anaendelea fresh na kijana mmoja tayari amekwisha kamatwa kuhusiana na shambulio hilo.
Mahir yupo nchini Australia kimasomo akiwa anasoma phd ya mawasiliano.

source by Revmich..
Sydney,Australia.

No comments:

Post a Comment