Wednesday, February 25, 2009

Msiba.

Halo Wadau,
Dada Catherine Shayo (five2007) amefiwa na Baba yake na sasa yupo Moshi kwa msiba.

Tumfariji mwenzetu katika kipindi hiki kigumu kwake ,na tumuombee kwa Mwenyezi Mungu atoaye faraja ya kweli kupitia kwa wanadamu.

na
Elisha,
five2007.

No comments:

Post a Comment