Tuesday, February 17, 2009

sauti za busara yamalizika kwa mafanikio makubwa...


Tamasha la muziki la sauti za busara lililokuwa likifanyika kisiwani Zanzibar limemalizika kwa mafanikio makubwa ambapo idadi kubwa ya wasanii wamehudhuria tamasha hilo kutoka pande
mbali mbali za Afrika na hata wengine wakitoka barani ulaya.
Pia tamasha hilo limehudhuriwa na idadi kubwa ya watu kutoka kisiwani Zanzibar,Tanzania bara,Afrika mashariki na kwingineko barani Afrika.

No comments:

Post a Comment