Friday, February 20, 2009

vunja mbavu...

kutokana na China kujizolea umaarufu mkubwa kwa kuwa taifa pekee kubwa duniani na lenye watu huenda wengi kuliko taifa lolote duniani kuwa ni taifa ambalo linaongoza kwa kutengeneza vitu feki duniani.
Je hivi rais wa china ambaye aliitembelea Tanzana hivi karibuni jamani alikuwa ni yeye yule rais orijino kweli? manake hawa jamaa wanaitsha kwa ishu za feki feki..asijekuwa hata rais ailekuja Tz juzi kati hapa akawa ni feki...usikute alikuwa ni mshikaji tu amejifanya ni rais wa china..hawa jama ni noma...usibonyeze..

No comments:

Post a Comment