Thursday, February 12, 2009

wadosi katili wafikishwa mahakamani dar leo.


Vinoth Nathesan na mkewe Komal Bhupendra, pichani hapo juu,wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini leo kujibu kesho inayowakabili baada ya kukamatwa kuhusika na tukio la kumuua kwa kumchinja kwa kutumia visu mhindi mwenzao (Abdul baswit)na kisha mwili wake kuuweka kwenye begi la nguo. Watuhumiwa walikamatwa wakiwa uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam tayari kukimbilia kwao India.
Abdul baswit alikuwa rafiki wa karibu sana wa familia hii.

No comments:

Post a Comment