Friday, March 6, 2009

Tanesco yajitoa Dowans.

Kampuni ya Tanesco imejitoa rasmi katika mchakato wa kununua mitambo ya Dowans kwa madai kuwa suala hilo limeingiza malumbano makali ya wanasiasa.
Katika kujitoa kwake kampuni hiyo imeonya kuwa siku moja nchi ikiingia gizani wasilaumiwe wao kwa sababu watu walishindwa kufanya maamuzi magumu.

No comments:

Post a Comment