Wednesday, February 17, 2010


Wanafunzi na walimu wa Shule ya sekondari Tegeta nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam wakiangalia masalia ya vitanda na vifaa mbalimbali vilivyoteketea kwa moto baada ya bweni lao kuwaka moto juzi usiku

No comments:

Post a Comment