Monday, March 1, 2010

ndege ya ATCL yapata ajali -mwanza

ndege ya shirika la ndege la ATCL leo asubuhi imeecha njia na kwenda nje ya nija yake ya kukimbilia pale ilipokuwa inatua katika uwanja wa ndege wa mwanza leo asubuhi, hakuna majeruhi walioripotiwa.

No comments:

Post a Comment