Monday, May 17, 2010

mtoto mchanga ateketea kwa moto.

Mtoto mchanga mwenye siku 25 ameteketea kwa moto ulioshika kwenye chumba alichokuwa amelazwa baada ya mama yake kuwasha kibatari na kisha kwenda bomba kuchota maji.

Mpangaji huyo alisha kibatari hicho na kukisahau na kisha kwenda kuchota maji kwenye bomba na ndipo moto ulizuka kwenye chumba hicho na kusababisha ajali hiyo ya moto iliyopelekea kifo cha mtoto huyo na kila kitu kilichokuwa ndani ya nyumba hiyo.

1 comment:

  1. Jamani pole sana, lakini huyo mama aliwaza nini? je hayo maji alikwenda kuteka usiku mpaka awashe kibatari?

    ReplyDelete