Saturday, January 24, 2009

bendi ya aina yake yawashangaza watu.


Jamaa mmoja kutoka katika jiji la Dublin nchini Ireland ameushangaza umma wa watu pale alipojitokeza peke yake na kuiwakilisha bendi yake kwa staili ya aina yake,jamaa huyo aliyekuwa anaiwakilisha bendi yake katika hafla hiyo,aliweza kumudu vyema kupiga drums,gitaa na vyombo vingine vingi vya muziki kwa mpangilio wa aina yake kiasi ambacho amewaacha hoi watu waliokuwa wamehudhuria hafla hiyo. Hivi ndivo alivyokutwa na mwakilishi wetu R. Michael kutoka Dublin.

No comments:

Post a Comment