Saturday, February 21, 2009

vyanzo vya ajali barabarani ni uzembe wa madereva


hii ni mojawapo ya ajali mbaya iliyotokea mkoani arusha on 21/01/09 ambayo chanzo chake ni mwendo wa kasi na kutokuwa makini kwa madereva wawapo barabarani,hali iliyopelekea kwa magari hayo mawili kugongana uso kwa uso moja likiwa ni roli na moja ni basi.No comments:

Post a Comment