Saturday, February 21, 2009


kuwa makini,mkumbushe dereva kupunguza mwendo mara unapoona anaendesha mwendo wa kasi kuliko kawaida...

kuwa mstari wa mbele kupambana na kupunguza ajali za barabarani ili kuokoa maisha yako na wenzako.No comments:

Post a Comment