Monday, February 23, 2009

stars hoi mbele ya senegal

Timu ya taifa,Taifa stars jana usiku(jumapili ya 22/02/09) ilijikuta ikilala kwa bao moja dhidi ya Timu ya taifa ya Senegal.
Bao la senegal lilifungwa na mshambuliaji Traore. Hata hivyo taifa stars ilijitahidi husawazisha bao hilo bila mafanikio.
Taifa stars itakutana uso kwa uso katika mechi nyingine na wenyeji Ivory Coast ambao awali kabisa,katika mechi ya ufunguzi,walishuhudia wakipata kichapo cha magoli 3-0 dhidi ya zambia.

No comments:

Post a Comment