Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Iringa, kuiondoa mahakamani kesi iliyofunguliwa dhidi ya Diwani wa Kata wa Itunundu (CCM) wilayani hapa kwa madai kwamba wapinzani watatumia kama `mtaji` kwenye uchaguzi mkuu ujao.
FOR MORE
Tuesday, March 31, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment