Friday, April 24, 2009

tusipoangalia,wahindi wataimaliza tz!!

Napenda kuchukua nafasi kuwauliza watanzania wenzangu je tutayumbishwa na hawa wahindi mpaka lini?maana kila kukicha kashfa zote kubwa wao ndio viongozi,ndio vinara,na mambo haya hayajaanza leo kama mnakumbuka enzi za CHAVDA katutapeli akakimbia Tanzania katuacha mikono mtupu,sasa kuna Rostam,Andy Chande,Somaia,Manji JE,NANI ANAWALINDA?natunasikia wengine wametoka huko kwao wamekuja kama WAWEKEZAJI BILA HATA YA KUWA NA MITAJI,WAMEFIKA HUKU NDIO WAMEANZA KUIPIGA MIZINGA KWANZA SERIKALI IWAPE MITAJI,huu ni upuuzi, utaisha lini?

No comments:

Post a Comment