Saturday, June 27, 2009

Beenie Man a.k.a ladies damn sugar,kuiteka leo dar.


Mkongwe wa muziki wa dance hall na raggae kutoka Jamaica,Beenie Man leo anatarajiwa kufanya onesho jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Posta, Kijitonyama.
Beenie Man atafanya onesho hilo chini ya uratibu wa EM na Star8music.
Onesho hilo limedhaminiwa na kampuni ya bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment