Saturday, July 25, 2009

Biashara ya viatu mji kasoro bahari "Moro"-Christopher Namkumba akifuta vumbi viatu anavyouza mjini Morogoro wakati akiwasubiri wateja. Jozi moja anauza kati ya Sh12,000 na Sh16,000.

Pilika pilika za kila siku jijini dar-Wapita njia wakipita Barabarani katika mtaa wa Azikiwe eneo la Posta Mpya.

No comments:

Post a Comment