Tuesday, July 28, 2009

Moto wazuka kwenye meli-dar.

Moto mkubwa umezuka kwenye meli ya mizigo Mv Pemba katika bandari ya Dar es Salaam wakati ikijiandaa na safari ya kuelekea Zanzibar na Pemba.

Hakuna mtu aliyejeruhiwa katika moto huo.

No comments:

Post a Comment