Saturday, August 15, 2009


Dreva Taxi (kulia) na kijana muuza maji wakigombana katikati ya Barabara ya Uhuru eneo la Mnazi Mmoja mara baada ya muuza maji huyo kutaka kusababisha ajali barabarani jana, jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya Wakazi wa Mbagala Kuu walioathirika na Mlipuko wa Mabomu mwezi April mwaka huu, wakiangalia majina yao kwenye orodha iliyotolewa na serikali kwa ajili ya malipo ya fidia za nyumba zao, jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment