Friday, August 14, 2009

mgambo wakiwaamuru wachuuzi wa bidhaa sokoni Kariakoo Dar es Salaam jana, kuziondoa biashara zao sehemu ambayo hairuhusiwi kisheria,kwasasa hawataki bidhaa kuepuka kuhusishwa na vitendo vya kupokea rushwa.

jamaa akiwa amejipumzisha kwa kuuchapa usingizi chini ya gari lililopaki eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam jana bila kujali madhara ambayo anaweza kupata endapo gari litaondoka glafla.

1 comment: