Wednesday, August 19, 2009

Mwanamke mfanyabishara wa kuuza vitenge katika Manispaa ya Morogoro akiuchapa usingizi kutokana na uchovu wakati akisubiria wateja wa kununua vitenge hivyo jambo ambalo ni hatari kwa vibaka kutumia mwanya huo kuiba katika mnada unaofanyika kila jumamosi mtaa wa Uhuru mjini hapo.
Paa la kituo cha kusubiria abiria likiwa limeanguka chini katika kituo cha mabasi cha Posta ya zamani jijini Dar es Salaam kama lilivyokutwa jana.

No comments:

Post a Comment