Thursday, August 20, 2009


Mtaro wa kupitisha maji taka uliopo mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam ukiwa baada ya mifuniko yake kuharibika muda mrefu uliopita na kutishia usalama wa watumiaji wa barabara hiyo.

3 comments:

  1. ni kweli na sijui yanasubiri nini kufunikwa..

    ReplyDelete
  2. Hii inatisha kwakweli, maana nadhani mtu ukitumbukia hapo na mguu huna!

    ReplyDelete