Monday, August 10, 2009

upotevu wa dawa.

Katibu mkuu wa wizara ya afya na ustawi wa jamii, Brandina Nyoni akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kuhusu upotevu wa dawa za kupunguza makali ya virusi vya ukimwi,malaria na kifua kikuu.

No comments:

Post a Comment