Friday, September 11, 2009

Wachuuzi wa mchele wakitwikana kifurushi cha mpunga kwa ajili yakuupeleka katika mshine ya kukoboa mjini Songea Mkoani Ruvuma, wachuuzi hao wamelalamikia kuadimika kwa bidhaa hiyo katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani na kusababisha bei yake kupanda kutoka Sh1000 kwa dumu hadi Sh1800.

No comments:

Post a Comment