Monday, September 14, 2009

wananchi wafunga barabara.


Askari wa kutuliza ghasia Kutoka Mkoani Tanga wakiwa eneo la Mkata barabara kuu ya Chalinze- Segera baada ya wananchi kufunga barabara hiyo kushinikiza kuachiwa kwa lori pekee linalosambaza maji kwa wananchi hao


Askari wa kutuliza ghasia (FFU), wa Mkoani Tanga wakisimamia ufunguaji wa barabara ili kuruhusu huduma ya usafiri kurejea tena eneo la Mkata barabara kuu ya Chalinze- Segera baada ya wananchi eneo hilo kuifunga jana asubuhi, kushinikiza kuachiwa kwa lori pekee linalosambaza maji kwa wananchi hao ililokamatwa na polisi


No comments:

Post a Comment