Monday, September 14, 2009

Daladala lenye namba ya usajili T 370 AQB linalofanya safari kati ya Nanenane na katikati ya Manispaa ya Morogoro likiwa limepata ajali katika barabara ya Stesheni wakati akimkwepa mwendesha pikipiki.

No comments:

Post a Comment