Wednesday, September 16, 2009

wahujumu uchumi wa BOT wakiwa mahakamani.

Watuhumiwa wa kuhujumu uchumi wa Nchi,Mkurugenzi wa Benki Kuu Ally Bakari(kulia) na naibu Mkurugenzi wa fedha katika benki hiyo Kisima Mkango,wakiwa katika mahakama ya Ilala jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment