Friday, September 18, 2009

Wakazi wa Ubungo Makuburi wakichota maji kwenye dimwi baada ya bomba kupasuka,walikuwa wakichota maji hayo kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, ambapo maji si safi na salama kama walivyokutwa jijini Dar es Salaam jana.

1 comment:

  1. Kama tusemavyo maji ni uhai wa binadamu kwa hiyo hapo hawana jinsi. Wakati kuna wengine wanapoteza maji safi na salama kwa matumzi yasiyofaa kabisa. Dunia hii kazi kwelikweli.

    ReplyDelete