Friday, October 9, 2009

Mfugaji,Sabayo Lotiken wa kitongoji cha Olongushe kata ya Soitsambu wilayani Ngorongoro akiwa amelazwa katika hospitali ya St. Elizabeth mjini Arusha, baada ya kujeruhiwa jicho na kitu kinachodhaniwa ni bomu na polisi wakati wa zoezi la kuwaondoa kwa nguvu wafugaji Loliondo.

No comments:

Post a Comment