Saturday, October 31, 2009

Wakazi wa tabata jijini Dar es Salaam, wakichota maji yanayotiririka kwenye mtaro ulio kando ya barabara ya Mandela, kwa ajili ya matumizi ya majumbani, jambo ambalo linahatarisha maisha yao kutokana na kuwa na uwezekano wa kupata magonjwa ya kuhara na kipindupindu.

No comments:

Post a Comment