Friday, November 27, 2009

Kaulian Mgani ambaye ni fundi Majiko Sanifu katika Manispaa ya Morogoro akimalizia kazi ya kutengeza majiko sanifu ya Changu kwa ajili ya maandalizi ya maonyesho ya Sido Kanda ya Mashariki ambayo yanatarajia kufanyika Desemba 1 katika uwanja wa Jamhuri mjini morogoro.

No comments:

Post a Comment