Monday, November 30, 2009


Gari likipita jirani na nguzo ya umeme iliyooza na kukatika ambayo imeshikiliwa na waya eneo la Manzese midizini Dar es Salaam jana. Nguzo hiyo ni moja kati ya nguzo sita ziliooza na kuanguka lakini Tanesco wameshindwa kuzibadilisha kwa wiki mbili sasa.

2 comments:

  1. Labda pale wananchi watakapowashambulia kwa mawe tanesco kama wafanyavyo kwa vibaka na wezi, ndio Tanesco wataamka

    ReplyDelete
  2. tanesco hawalipwi vizuri ndio maana..

    ReplyDelete