Wednesday, November 18, 2009

"Kelele za mashabiki hazinitishi" - Maximo
"Mimi ni kocha mwenye utaalam wa kazi yangu sio wa kubabaisha kiasi cha kunifanya nivunje miiko na maadili ya kazi yangu,
siwezi kujiuzulu kwa matashi ya wachache wanaowataka wachezaji wao fulani katika kikosi changu"
Asema - "Tatizo lililoko hapa ni kwamba kuna watu ambao muda wote wamejiandaa kukosoa hata siku moja hawako tayari kutuunga mkono hata pale tunapofanya vizuri ,"alisema kocha huyo."

No comments:

Post a Comment