Friday, November 20, 2009

kutana na shule ya msingi juhudi-kigoma vijijini,Tanzania


Wanaoonekana pichani ni wanafunzi wa shule ya Msingi Juhudi iliyopo katika Wilaya ya Kigoma Vijijini mkoani Kigoma nchini Tanzania wakiwa darasani.
(picha na Mch. Emmanuel Bwatta wa Kanisa la Anglikana Kigoma)

1 comment:

  1. Huwezi kuamini hao ndio taifa letu la kesho, kuna maraisi, mawaziri, maprof. walimu nk. Sasa hapo sijui mtu atasoma kweli kwa bidii au? Sijui kama ni kweli kama wasemavyo elimu ni popote pale.

    ReplyDelete