Thursday, November 26, 2009

Kaimu kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Tarime na Rorya Costantino Massawe (kulia) akizungumza na waandishi wa habari alipokuwa akiwaonyesha mtuhumiwa wa wizi wa nyaya za simu za shirika la Posta na simu (TTCL) alijulikana kwa jina la Werema Wambura (kushoto).

No comments:

Post a Comment