Thursday, November 26, 2009

Rachel Kasuke ( kushoto) akilia kwa uchungu alipokuwa akitoa ushuhuda wake kwenye maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia jana kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam. Rachel alisema mtoto wake alitaka kukeketwa na familia ya mumewe.

No comments:

Post a Comment