Friday, November 13, 2009

Mwalimu Albert Juakali wa shule ya msingi Iboma iliyopo kijiji cha Udinde Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya akifundisha wanafunzi wa darasa la kwanza chini ya Mti wa Mbuyu kama alivyokutwa na Mpigapicha wetu.
Mvua ikinyesha: Mwisho wa masomo

No comments:

Post a Comment