Monday, December 7, 2009

Waumini katika maandamano ya siku ya Hijab Duniani

Waumini wa dini ya kiislamu wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha siku ya hijab duniani, maandamano hayo yalianzia eneo la Karume na kuishia katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment