Friday, December 11, 2009
Maji taka yakiwa yamejikusanya katikati ya barabara jirani na soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam jana, kutokana na miundombinu ya kupitisha maji hayo kuziba na kuhatarisha afya za watumiaji na wakazi wa eneo hilo kutokana na magonjwa ya mlipuko.

No comments:

Post a Comment