Monday, December 14, 2009

Askari Mgambo wa Halmashauri ya Ilala akisukuma toroli lililojaa mananasi baada ya kunyang'anya kwa muuzaji aliyekuwa akifanya biashara katika eneo lisiloruhusiwa mtaa wa Sikukuu jijini Dar

No comments:

Post a Comment