Thursday, January 14, 2010


Sehemu ya magari katika barabara kati ya Mtwara na Dar es Salaam yakiwa yamekwama katika eneo la Somanga na Marendego Mkoani Lindi, kutokana na tope zito lililosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha

No comments:

Post a Comment