Thursday, January 14, 2010

Mtoto Mariamu mkazi wa Kibiti, mkoa wa Pwani akiwa na beseni lenye mchichi wakati akipelekea katika soko kuu la mji huo kwa ajili ya kuwauzia wateja wake ambapo fungu moja alikuwa akiliuza kwa sh 200.

1 comment:

  1. Jamani Simon vp, Duh! watu kwa kujua kutamanisha yaani baada ya kuona huo mchicha nikasonga ugali wangu na kujaribu kuvuta harufu ya mchicha huku matonge yanakwenda tu. Ila pia namuhurumua binti huyo inatakiwa awe shule sasa ila ndo maisha anaweza akafanikiwa kwa kuanza kuuza huo mchicha. Upendo Daima

    ReplyDelete