Monday, March 22, 2010


Wakina mama wakiwa wamepanda usafiri wa mkokoteni unaovutwa na ng`ombe kama walivyokutwa na mpigapicha wetu katika kijiji cha upendo Wilaya ya Chunya hivi karibuni.

1 comment:

  1. afadhali kuliko kutembea kwa mguu, usafiri wetu ndio huo . Usafiori mradi kufika.

    ReplyDelete