Thursday, April 15, 2010

kutokana na shida ya usafiri (hasa kwa wanafunzi jijini dar) hivyo huwalazimu kupanda gari zozote ili mradi tu waweze kufika shule kama baadhi yao wakiwa wamepanda lori la mchanga wakielekea shuleni kama walivyokutwa na mwandishi wetu.

2 comments:

  1. Jambo hili nimliliona mwaka jana Songea kwamba daladala wanakataa kuchukua wanafunzi kwa vile hawana pesa. Kwa nini kusiwe na basi kwa ajili ya kuwapeleka wanafunzi shule na kuwachukua na serikali ndio ilipe??? ni wazo tu na pia swali.

    ReplyDelete